Hahaha hapana mimi nitakua nimevaa shuka langu la cotton peke yake, hiyo ndo safe ya mkufunzi[emoji40]Kumbe bora nilivyoyakataa mapema maana.....lakini ngoja,kwamba na wewe utavaa gauni la criplin?
Tupo samenipo Tanga sijui wasiolala wezangu mupo wapi
Hahaha hapana hayo ni maandiko Matakatifu kutoka kitabu cha Biblia.Hivi hiyo sio kauli ya wahenga kweli?
Mmmh! sasa hiyo sare nitavaa na nani?Hahaha hapana mimi nitakua nimevaa shuka langu la cotton peke yake, hiyo ndo safe ya mkufunzi[emoji40]
mimi napita tu kwa usiku wa leo, wewe ni mkaazi?Tupo same
Ahahahaaaaaa jirani yangu kiboko, kumbe anataka kuota mtu aiseeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimekutana nae mitaa fulani huko,akasema siku hizi analala ili amwote mtu hapa........
[emoji3] [emoji3]Umeona eeh! Naona huko Mirembe hakumsaidii kitu bora tumpeleke kwenye maombi
Hapana nimekuja matembezi kidogomimi napita tu kwa usiku wa leo, wewe ni mkaazi?
HatujamboJe hamjambo enyi mwendao usiku?
Si useme tu uko na jirani yako mpendwa[emoji40]Tupo same
Enjoy Tanga, baada ya mwezi mmoja huenda nikawepo tena. mji una mabibi huuHapana nimekuja matembezi kidogo
Hahaha mimi huwa nafundisha mwanafunzi mmoja mmoja ili kuleta ufanisi zaidi[emoji39] [emoji125]Mmmh! sasa hiyo sare nitavaa na nani?
Ala kumbe!Hahaha hapana hayo ni maandiko Matakatifu kutoka kitabu cha Biblia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si useme tu uko na jirani yako mpendwa[emoji40]
Okey karibu tena tanga kwetuEnjoy Tanga, baada ya mwezi mmoja huenda nikawepo tena. mji una mabibi huu
Ndo maana yake, tatizo lako unajua majina karibu yote ya vinjwaji kuliko hata maandiko matakatifu[emoji40] (sijanywa dawa)Ala kumbe!
Nishakaribia, nikija mara ya nyengine ni kutembea tuOkey karibu tena tanga kwetu