JamiiForums Usiku wa manane

Tena inakuhusu 100%, kwani umesahau ule Uzi wa mchana wa kucha ndefu mlivyokua mnahojiana na Dirty head, mlijisahau mkafunguka vyema, nimescreen short sema ndo ivyo tena damu ni nzito kuliko Maji,[emoji85]
Kaka kuna uzi kuna mdada kanitukana hapa nina hasira nataman nivae bukta
Ndiko nilikuwa namjibu sasa aache upuuz nitamtoa kichane cha meno
 
Kaka kuna uzi kuna mdada kanitukana hapa nina hasira nataman nivae bukta
Ndiko nilikuwa namjibu sasa aache upuuz nitamtoa kichane cha meno
Ohooh, kutsie mshiki, oichi wahenga wawode madedo hecha sana, MWEREVU AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA, hebu ondoa hilo donge la hasira kwa kusoma mistari michache ya Biblia, then kunywa maji yako safi, Shukuru aliyekuumba, lala kwa amani kabisa.
 
[emoji102] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…