JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Eti X nyekundu,
Hiyo haina hata tone la mafuta, tena ikichanganywa na mwarobaini na pilipili kichaa unasahau kuhusu kitambi[emoji40]
Ila ujue kitambi flani kina mvuto wake wake bhana uwanjani, hasa kinapokua kinatikisika wakati wa kukimbilia mpira[emoji39] [emoji85] [emoji125]
Bila shaka mwenzetu wewe una hela kwahiyo my babyz wako wanakwambiaga "Baby I like that"

Hivi wimbo wa UNAIBIWA kaimba nani vile? [emoji12] [emoji12]
 
[emoji15] [emoji15] Kwa hiyo imepitishwa rasmi kuwa Neybright ni mmoja mwaminifu wako?
Hahaha sio kwangu tu huyu ni jirani mwaminifu wa dunia[emoji122]
Ni yeye pekee anayeweza kuwapenda jirani zake kama nafsi yake[emoji39]
Na kubwa zaidi atakunyima vyote lakini sio kukung'ata sikio pasipo unafiki[emoji12]
Hongera Neybright
 
Bila shaka mwenzetu wewe una hela kwahiyo my babyz wako wanakwambiaga "Baby I like that"

Hivi wimbo wa UNAIBIWA kaimba nani vile? [emoji12] [emoji12]
Hahaha mimi hata niwe nashindia blueband na kitimoto siwezi kua na kitambi[emoji40]
Mimi huwa napenda kucheza na beki mwenye kakitambi flani, kile kipindi anapambana kuzuia lango ule mtikisiko wa kitambi chake hua unanisisimua sana[emoji85] (nimeandikiwa)
 
Hahaha sio kwangu tu huyu ni jirani mwaminifu wa dunia[emoji122]
Ni yeye pekee anayeweza kuwapenda jirani zake kama nafsi yake[emoji39]
Na kubwa zaidi atakunyima vyote lakini sio kukung'ata sikio pasipo unafiki[emoji12]
Hongera Neybright
Eeeh! Haya majirani...ngoja niwapishe mng'atane masikio

Sitaki ushahidi,ila siku my baby wako atakapokuja nitampa hii taarifa,kwa hiyo mjiandae kujibu
 
Back
Top Bottom