Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Machozi ya simba yupi? Huyuhuyu aliyeponea chupuchupu kupakatwa na wanamtibwa au mwingine?[emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Machozi ya simba yupi? Huyuhuyu aliyeponea chupuchupu kupakatwa na wanamtibwa au mwingine?[emoji12] [emoji12]
Hahaha nina wiki mbili sasa sijatengeneza hizo bidhaa, umeanza visingizio sio[emoji6]Hukuniona mimi ulinifananisha tu! Mimi nilikuwa Mirembe kwa Nleterewa Nganengo kuchukua viroba [emoji85] [emoji85]
[emoji1] asante.Raha ya ngoma ingia kati ucheze...karibu uwanjani bundi mwenzetu![emoji12] [emoji12]
Ulale salama.Guys thank you so much for your support, ngoja nipumzike nawatakia mkesha mwema. Love you all [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ulale unono jirani wa dunia, Leo umenifurahisha sana, ila usisahau kuimarisha ulinzi Leo na pia usisahau kukata matawi yote ya miti karibu na nyumba kuzuia Bundi wenye hasira Kali wasitue[emoji40] [emoji125]Guys thank you so much for your support, ngoja nipumzike nawatakia mkesha mwema. Love you all [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu nakuona ulikua unakimbiza mwizi kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ile lugha ulisha ijua? naona umenogewa na mwalimu wako[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole itabidi nikutafute unifundishe hii mambo ya kubet....inaelekea inawalipa sana eeeh!
[emoji7] [emoji8] [emoji8]Jamani niwatakie usiku mwema....kuna watu wamemaliza kujenga taifa,hivyo natakiwa asubuhi na mapema nianze kupaka rangi!
Nawapenda wote![emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hatukeshi lakini tupoGuys thank you so much for your support, ngoja nipumzike nawatakia mkesha mwema. Love you all [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nakupenda pia karibu bila kuchokaJamani niwatakie usiku mwema....kuna watu wamemaliza kujenga taifa,hivyo natakiwa asubuhi na mapema nianze kupaka rangi!
Nawapenda wote![emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ohooo wapi huko mkuu?Mkuu nakuona ulikua unakimbiza mwizi kimya kimya
Swali zuri sana hili mkuu, akikujibu nishtue[emoji125]Hivi ile lugha ulisha ijua? naona umenogewa na mwalimu wako
Huyo wa mirembe day atanifundisha saa ngapi?Hivi ile lugha ulisha ijua? naona umenogewa na mwalimu wako
Hapa hapa mkuu, nikaona kuanzia saa nyingi unalike unapita, nikafikiri balimi zimekuzidia huoni keybord vizuri[emoji3]Ohooo wapi huko mkuu?
Poa ulale salama. Rangi wamemaliza kupaka inabidi uhamie kabisaJamani niwatakie usiku mwema....kuna watu wamemaliza kujenga taifa,hivyo natakiwa asubuhi na mapema nianze kupaka rangi!
Nawapenda wote![emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ha ha haaaaaHuyo wa mirembe day atanifundisha saa ngapi?
Bora umekuja wewe,utanifundisha kubet
Kwa hakika sizioni vema na bahatisha tu baada ya kunogewaHapa hapa mkuu, nikaona kuanzia saa nyingi unalike unapita, nikafikiri balimi zimekuzidia huoni keybord vizuri[emoji3]