Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Ohooh huko unakoenda siko, mimi namzungumzia yule wa porini, au ukikosa kabisa tafuta angalau mkojo wa kuku[emoji40]Machozi ya simba yupi? Huyuhuyu aliyeponea chupuchupu kupakatwa na wanamtibwa au mwingine?[emoji12] [emoji12]
Bila shaka mwenzetu wewe una hela kwahiyo my babyz wako wanakwambiaga "Baby I like that"[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Eti X nyekundu,
Hiyo haina hata tone la mafuta, tena ikichanganywa na mwarobaini na pilipili kichaa unasahau kuhusu kitambi[emoji40]
Ila ujue kitambi flani kina mvuto wake wake bhana uwanjani, hasa kinapokua kinatikisika wakati wa kukimbilia mpira[emoji39] [emoji85] [emoji125]
Hahaha sio kwangu tu huyu ni jirani mwaminifu wa dunia[emoji122][emoji15] [emoji15] Kwa hiyo imepitishwa rasmi kuwa Neybright ni mmoja mwaminifu wako?
Asanteh jirani yangu ulale salamaAmekwisha toka jirani kipenzi nakuachia kijiti usiku mwemah
Vipi kwani hilo jiwe la gizani limekupata nini? [emoji1] [emoji1]Ohooh huko unakoenda siko, mimi namzungumzia yule wa porini, au ukikosa kabisa tafuta angalau mkojo wa kuku[emoji40]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wacha tu tu-assume walikua kwenye maombi[emoji40]
Hahaha mimi hata niwe nashindia blueband na kitimoto siwezi kua na kitambi[emoji40]Bila shaka mwenzetu wewe una hela kwahiyo my babyz wako wanakwambiaga "Baby I like that"
Hivi wimbo wa UNAIBIWA kaimba nani vile? [emoji12] [emoji12]
Hapana rafiki yangu imetokea bahati mbaya tuu kukuona macho hayana paziaNdo maana jirani yako anakuchabogi,kumbe nawe unachobogi mambo yake [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] Lala vidole visije vikaandika matusi bila kukusudia
Eeeh! Haya majirani...ngoja niwapishe mng'atane masikioHahaha sio kwangu tu huyu ni jirani mwaminifu wa dunia[emoji122]
Ni yeye pekee anayeweza kuwapenda jirani zake kama nafsi yake[emoji39]
Na kubwa zaidi atakunyima vyote lakini sio kukung'ata sikio pasipo unafiki[emoji12]
Hongera Neybright
Hahaha wacha kabisa haya mambo ya kubet kwa kutumia "wake zetu" kidogo yanitoe roho[emoji40]Vipi kwani hilo jiwe la gizani limekupata nini? [emoji1] [emoji1]
Unakoelekea siko,mwisho utanambia niweke na sumu ya panya kabisa
Afadhali umejileta....umemwambie Nleterewa Nganengo kuwa uliniona wapi vile...?[emoji108] [emoji108] [emoji108]Asanteh jirani yangu ulale salama
Ahahahaaaaaa mbona nipo dearYule Neybright kamwongopea jirani yake,ndio maana alivyoniona tu nimekuja kaondoka bila kuaga maana alijua nitamsuta [emoji12] [emoji12]
Ohooh umeanza uchochezi[emoji39]Eeeh! Haya majirani...ngoja niwapishe mng'atane masikio
Sitaki ushahidi,ila siku my baby wako atakapokuja nitampa hii taarifa,kwa hiyo mjiandae kujibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani yule ni mfano wa kuigwa hajawahi nidanganya hata siku moja[emoji39]
Yani kiufupi namwamini jirani kwa sasa kuliko kitu chochote[emoji40] [emoji125]
Asikutishe huyu, endelea kusema kweli kama maandiko yanavyosema na kweli itakuweka huru[emoji39]Afadhali umejileta....umemwambie Nleterewa Nganengo kuwa uliniona wapi vile...?[emoji108] [emoji108] [emoji108]
[emoji108] [emoji108] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hapana rafiki yangu imetokea bahati mbaya tuu kukuona macho hayana pazia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji8]Hahaha sio kwangu tu huyu ni jirani mwaminifu wa dunia[emoji122]
Ni yeye pekee anayeweza kuwapenda jirani zake kama nafsi yake[emoji39]
Na kubwa zaidi atakunyima vyote lakini sio kukung'ata sikio pasipo unafiki[emoji12]
Hongera Neybright