JamiiForums Usiku wa manane

Afadhali umejileta....umemwambie Nleterewa Nganengo kuwa uliniona wapi vile...?[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Kwa jirani yangu kichwa kichafu
Kilichonifanya niangaze macho kwa shauku kubwa ni pale mlipokuwa mnasalimiana kidhungu (mkumbato type) am sorry it's not my intention to saw you guys but hiyo style ndio ilinifanya nikawa interested [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ohooh jirani sema yote, ulinzi wako juu yangu[emoji122]
 
Hukuniona mimi ulinifananisha tu! Mimi nilikuwa Mirembe kwa Nleterewa Nganengo kuchukua viroba [emoji85] [emoji85]
 
Miafrika ndivyo mlivyo....kila siku mnatwambia "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" wakati mwatuongopea kila kukicha....[emoji57] [emoji57]
Haya endeleeni kudanganyana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona sasa jiwe limepiga penyewe, shemeji shemeji mpaka kwenye salamu ya kimalkia[emoji85] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…