Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha yani umenifanya nikahama boarding kwa ajili yako ujue[emoji40]Huyo wa mirembe day atanifundisha saa ngapi?
Bora umekuja wewe,utanifundisha kubet
Hem nistue kwanza alishafuzu soma lile?Swali zuri sana hili mkuu, akikujibu nishtue[emoji125]
Huyu anazuga tu we hujui, kuna sehemu katekwa[emoji40] [emoji125]Poa ulale salama. Rangi wamemaliza kupaka inabidi uhamie kabisa
Hahahaaa.......nimependa ushauri wako,ila wamemaliza kujenga ukuta wa upande mmoja tu,bado kuta tatu ndo maana bado linaitwa taifa changaPoa ulale salama. Rangi wamemaliza kupaka inabidi uhamie kabisa
[emoji3] [emoji3]Kwa hakika sizioni vema na bahatisha tu baada ya kunogewa
Katekwa na watu wasiojulikanaHuyu anazuga tu we hujui, kuna sehemu katekwa[emoji40] [emoji125]
Mkuu kama ulimchapa na ile fimbo nambie nijitoe kufundishaHahaha yani umenifanya nikahama boarding kwa ajili yako ujue[emoji40]
Alafu ghafla bin vuu ukasitisha mwalimu na masomo ati unamtaka jje's. Hukunitendea haki kwakweli[emoji24]
Nitakudodosa vizuri kesho..........wacha nilale kwanzaHa ha haaaaa
Mimi kuna nnavyo fundisha sio kubet[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Afuzu wapi mkuu, nilihama mpaka boarding kwa ajili yake, kiboko changu nikakiandaa vyema kabisa, lakini ghafla anamtaka Mwl jje'sHem nistue kwanza alishafuzu soma lile?
Nigawie kidogo huo usingizi basiNitakudodosa vizuri kesho..........wacha nilale kwanza
Hahaha tulikua hata orientation haijafanyika mkuu, we kamfundishe tu, ila chondechonde usitumie bakora, wala isiwe karibu huwa anatabia ya kuzimia akiona bakora, hasa ikiwa ndefu kavu.[emoji40] [emoji125]Mkuu kama ulimchapa na ile fimbo nambie nijitoe kufundisha
Sasa jjes kiboko atakitoa wapiAfuzu wapi mkuu, nilihama mpaka boarding kwa ajili yake, kiboko changu nikakiandaa vyema kabisa, lakini ghafla anamtaka Mwl jje's
Karibu Mkurugenzi, kampuni uliyoanzisha naona inaendelea vyemaPopoooooooZ! love you All...mna mastory matamu humuuuuuuuu.
Tarizo watu hawasemi wako wapi na wanafanya niniPopoooooooZ! love you All...mna mastory matamu humuuuuuuuu.