Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha yani umenifanya nikahama boarding kwa ajili yako ujue[emoji40]Huyo wa mirembe day atanifundisha saa ngapi?
Bora umekuja wewe,utanifundisha kubet
Alafu ghafla bin vuu ukasitisha mwalimu na masomo ati unamtaka jje's. Hukunitendea haki kwakweli[emoji24]