JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha tulikua hata orientation haijafanyika mkuu, we kamfundishe tu, ila chondechonde usitumie bakora, wala isiwe karibu huwa anatabia ya kuzimia akiona bakora, hasa ikiwa ndefu kavu.[emoji40] [emoji125]
Ha ha haaa sasa kama muoga wa bakora hafai kufundisha mkuu bakora ndo itakua ya kwanza kutumia ili somo limuingie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…