Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ndo tushangae wote mkuu, na mwafrika bila fimbo haelewi kabisaSasa jjes kiboko atakitoa wapi
Ha ha haaa sasa kama muoga wa bakora hafai kufundisha mkuu bakora ndo itakua ya kwanza kutumia ili somo limuingie vizuriHahaha tulikua hata orientation haijafanyika mkuu, we kamfundishe tu, ila chondechonde usitumie bakora, wala isiwe karibu huwa anatabia ya kuzimia akiona bakora, hasa ikiwa ndefu kavu.[emoji40] [emoji125]
Hahaha niko kijiji cha Pluto ya kaskazini, nauli ya kuja huku ni kafara ya damu ya kobe uliemchinja mwenyewe na Maziwa ya Mjusi[emoji12]Duh! wapi huko mkuu nami nije?
Yani mimi ndo kifundishio changu ili yaende sawa bakora bakora bakoraHahaha ndo tushangae wote mkuu, na mwafrika bila fimbo haelewi kabisa
Hahaha nimegundua janja ya kumwingiza darasani mkuu ni kuficha kiboko kwanza akiingia darasani tu, unatia lock mlango unaendelea na yako mpaka somo lieleweke[emoji40] [emoji125]Ha ha haaa sasa kama muoga wa bakora hafai kufundisha mkuu bakora ndo itakua ya kwanza kutumia ili somo limuingie vizuri
Hahaha hapana mkuu yeye anaishi Mars ya Magharibimh! mpo jirani na yule bro. wetu hapa jukwaani eeeh?
Swadakta kabisa, hapa umenena mkuu.Yani mimi ndo kifundishio changu ili yaende sawa bakora bakora bakora
Naupokea ushauri wako asante sana ntamalizia ulipo ishiaHahaha nimegundua janja ya kumwingiza darasani mkuu ni kuficha kiboko kwanza akiingia darasani tu, unatia lock mlango unaendelea na yako mpaka somo lieleweke[emoji40] [emoji125]
Hahaha mkuu hili darasa linawahusu upande wa pili tu, upande wako mkufunzi atakua jje'snilikuwa nafikiria kujiunga hii class ila mambo ya bakora tena, hapana aisee.
Nakuamini sana Kamanda[emoji123]Naupokea ushauri wako asante sana ntamalizia ulipo ishia
Class ya kiutu uzima hii mkuu mwalimu mmoja na mwanafunzi mmoja tena ni hasi na chanya baaasinilikuwa nafikiria kujiunga hii class ila mambo ya bakora tena, hapana aisee.
Kiufupi WAMETEKWAhawa warembo wetu wameenda wapi tena hapa! nahisi usingiziii
Hakuna namna bakora itumike ipasavyo mkuuSwadakta kabisa, hapa umenena mkuu.
Warembo leo ni siku yakutimiza majukumu yao kwa walimu wao wee lala tuhawa warembo wetu wameenda wapi tena hapa! nahisi usingiziii