Ajitaje mwenyewe....maana anajijua fika![emoji4] [emoji4] [emoji4]Tutajie leo tumjue au umkane leo tujue[emoji85]
Sijakuona muda kidogo ujue mpaka nikaanza kujiuliza kulikonime bukheri wa afya, awww..!! [emoji8] asante mamy siku yangu imeanza vizuri
Naona mwalimu na mwanafunzi mnaivana vilivyo.Mazingira spesho, bakora spesho, uniform spesho na bila kusahau ni kwa sababu spesho[emoji12] [emoji39] [emoji125]
Na wewe hutu tumiguu twako uwe unatusafisha bhana, tuna vumbi kama nini, kila tukipita hapa chafya haziniishi[emoji40] [emoji12] [emoji23][emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Bora ubaki hapo maana anakuzinguaaisee, sasa unafundishwa nini maana bado nipo njia panda hapo
Kiswahili kitamu jamani tuache masihara....Poa mzima wewe?
Najihis kukuhamu [emoji4][emoji4]
ni kweli ila Mungu mwema.!! sasa tupo wote kilingeni tunapiga soga za majukumuSijakuona muda kidogo ujue mpaka nikaanza kujiuliza kulikoni
Napenda mnavyoelewana[emoji85] [emoji12]Kumbe unajua vyema hii issue....sasa ilikuwaje jana ukaniruka? Kweli wewe ni wa kunifanya hivyo?
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe![emoji18] [emoji18] [emoji18]
Asante kipenzi jana nilikumisimoNakusalimia mpenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiswahili kitamu jamani tuache masihara....
Unahisi kumhamu eeh! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Uzuri mmeshatajana na kuelewana. Hilo darasa liko vzrAjitaje mwenyewe....maana anajijua fika![emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji18] aisee ni kweli sasa mbona kibarua kizito hikiBora ubaki hapo maana anakuzingua
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji8]Na wewe hutu tumiguu twako uwe unatusafisha bhana, tuna vumbi kama nini, kila tukipita hapa chafya haziniishi[emoji40] [emoji12] [emoji23]
Naona mtu na mshiki wake mnampango wa kunipotezea malengo yangu kwa KK,sio bure [emoji12] [emoji12]Napenda mnavyoelewana[emoji85] [emoji12]
Kwakweli mpaka sasa sielewi hebu tuambie mwalimu wako nani na anakufundisha nini ili utata uishe[emoji40]Unabadilisha tuhuma ya jana eeeh!
Nyie si mlijifanya hamfahamu mwalimu wangu wala somo nitakalofundishwa?
Usiogope urafiki una gharama na ndo hizo unazipata sasa[emoji38] [emoji12][emoji18] aisee ni kweli sasa mbona kibarua kizito hiki
Naona speed ya vimulika sura nikajisemea hapa nitatoboa kweli? Ila bado najipa moyo[emoji38] [emoji12]Naona mtu na mshiki wake mnampango wa kunipotezea malengo yangu kwa KK,sio bure [emoji12] [emoji12]
[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Kumbe unajua vyema hii issue....sasa ilikuwaje jana ukaniruka? Kweli wewe ni wa kunifanya hivyo?
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe![emoji18] [emoji18] [emoji18]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mtasindana lakini hamtashinda!Naona speed ya vimulika sura nikajisemea hapa nitatoboa kweli? Ila bado najipa moyo[emoji38] [emoji12]