JamiiForums Usiku wa manane

aisee, sasa unafundishwa nini maana bado nipo njia panda hapo
Wiki kadhaa zilizopita niliwaomba Nleterewa Nganengo na jje's wanifundishe lugha wanayoitumia kuitana mshiki....bila ajizi Nleterewa Nganengo akajitokeza kuwa yeye yuko tayari kunifundisha na ameshaanda na zana za kufundishia, Manga ML akatoa ushauri wa mbinu za kunifundishia,baada ya hapo hakuna kilichoendelea mpaka jana nilipozushiwa ya kuzushwa eti nimtaje mwalimu wangu....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
duuh sasa hilo sonyo sijui langu [emoji134]
enhe..!!!kumbe mhusika yupo me naomba aweke bayana mambo hapa tujue mbivu na mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…