Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Asante kwa kujali!Thad lala mama angu.
Tatizo sina usingizi [emoji18] [emoji18] naomba unikopeshe usingizi wako, nitakulipa mwezi ujao [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kujali!Thad lala mama angu.
Hahaha na mwanafunzi, mwanafunzi tu[emoji40]Unendelea kuruka ruka tu ...kweli bisi ni bisi tu [emoji12] [emoji12]
Ha ha ha haaaaaaa twwnde sasaaaaaa[emoji15] [emoji15]
Mimi si ulinikataa lakini ukasema unamtaka jje's, kisa mimi nilisema ntakua natumia na bakora[emoji40]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uchokozi gani? Wewe huoni jje's naye amekumisimo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika kiswahili sikiachi kamwe![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante kwa kujali!
Tatizo sina usingizi [emoji18] [emoji18] naomba unikopeshe usingizi wako, nitakulipa mwezi ujao [emoji12] [emoji12]
Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana [emoji85] [emoji85]Mie hata sikukopeshi. Nakuunga bando la kulala mwezi mzima
Ila naweye una vingi vya kufundishwaUmeshanikana hadharani sitaki tena uwe mwalimu wangu.....labda unifundishe kubet [emoji12] [emoji12]
Jirani mtukuka, nakusalimu sana, tafadhali naomba umwambie jiraniyo aje na mwenzie waje kumaliza hiki kizaa zaa walichokianzisha[emoji40][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha mkuu tafadhali usiendelee kuchochea huu moto, hakika Niko kwenye tanuru tukuka[emoji40]Ha ha ha haaaaaaa twwnde sasaaaaaa
Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana [emoji85] [emoji85]
Hivi aliyeimba haka kawimbo yuko wapi siku hizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uzuri KK hapendagi kesi kabisa...mshiki wako naye ukishamwongelesha ile lugha yenu pendwa,hafurukuti kabisaHahahaha wallah, kumbe una 3-dimension eyes eeh, wallah kesho wakija hapatakalika hapa[emoji40]
Tumewasha moto mpya[emoji12]
Nakusapot apoHahaha itabidi haya mambo tuyazungumze sirini, hapa wakija hawachelewi kuzusha jambo[emoji39]
Hivi wewe uliniahidi kunifundisha nini vile...[emoji12] [emoji12]Ila naweye una vingi vya kufundishwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana [emoji85] [emoji85]
Hivi aliyeimba haka kawimbo yuko wapi siku hizi?
Aisee kumbe jana ulishuhudia yote[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana jana ukatoa masharti magumu eti ajenge nyumba ukweni,amnunulie gari shemejie n.k
Ulikuwa unsmkataa kijanja eeh![emoji12] [emoji12]
Ila naweye una vingi vya kufundishwa
Alafu hajui wewe ni mkufunzi murua kabisa wa masuala ya kubetIla naweye una vingi vya kufundishwa
Ni shem wangu ila dogo hayupo nipo mimi tuHivi ulisema ni jirani au shemeji yako? [emoji12] [emoji12]
Ujue sikuamini macho na masikio yangu, kweli KK kalamba galasa kwa huyu shemejie [emoji12] [emoji12] (sio mimi ni usingizi wa bando la mwezi)Aisee kumbe jana ulishuhudia yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] uzuri KK hapendagi kesi kabisa...mshiki wako naye ukishamwongelesha ile lugha yenu pendwa,hafurukuti kabisa