Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Kumuita aje hapa kujibu tuhuma hapana aiseeh siwezi naogopa kumpoteza jirani yanguJirani mtukuka, nakusalimu sana, tafadhali naomba umwambie jiraniyo aje na mwenzie waje kumaliza hiki kizaa zaa walichokianzisha[emoji40]
Nimuoga sana kujieleza mbele ya hadhira.