JamiiForums Usiku wa manane

Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana [emoji85] [emoji85]

Hivi aliyeimba haka kawimbo yuko wapi siku hizi?

Hahahaaa hapo mwishomwisho vijana wa kizazi kipya watakuja kutusaidia...eneo lakuvutia ni hapo juu hapo, hapo kwenye kunyimana haaapo, ndipo pabaya (Mzee wa awamu ya pili) hahahaaa
 
Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana [emoji85] [emoji85]

Hivi aliyeimba haka kawimbo yuko wapi siku hizi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nikitazama kwa makini naona kuna Moshi hapa, muda sio mrefu tutaona moto hapa[emoji39] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…