Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hata hiyo nusu sijiona, au ni zile bombadia mbili alizonipa baada ya kumkuta akiongea na nanihii..Mi nakwambia hutaweza kuchoche hizo kuni ni mbichi, wajifanya hunielewi ....mahari bado nusu haijalipwa [emoji4] [emoji4]
Ndo maana unajizungusha.....ooh mafunzo,mwalimu ,mwanafunzi...mwisho unachomekea issue ya ufunguoNaogopa kumuuliza kinagaubaga, namuonea muhali.
[emoji23] [emoji23][emoji360] funguo yenu hiyo hapo! Naomba msinigasigasi tena![emoji57] [emoji57]
Mbona umemnyima yale maneno yako yanayo fika hadi moyoni na kulegeza mwiliNipo maa
Hiyo ndo kazi ya msamaria, yeye katoa tu taarifa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huu uchochezi kindakindaki kabisa, ewe msamaria.[emoji40] [emoji125]
Hahahahhaha mhhhhUsichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maine
Waambie waambieUjue kwenye Biblia kuna wale manabii wa uongo walimwaga maji mapipa 12 kwenye sadaka ya kuteketeza, lakini Mtishibi alipopiga ombi, moto ulilamba kuanzia sadaka hadi maji.
Hahaha hizo ziko Zanzibar kwenye nyumba ya Makumbusho.Hahahahha hv rays hamnaga tena eeh
Nakumisimo jaman my kaka
We mbaya, yaani ulipewa bombadia mbili ukanywa peke yako? Nami nataka...naomba bombadia 1 [emoji39] [emoji39]Hata hiyo nusu sijiona, au ni zile bombadia mbili alizonipa baada ya kumkuta akiongea na nanihii..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87]Hahaha huyu Msamaria sio mtu mzuri. Makaburi mengine yanatisha sana yakifukuliwa,
Nina wasiwasi huyu atakua Mfilisti[emoji40] [emoji125]
Akikujibu hili,usisahau kuuliza na habari ya shift [emoji126] [emoji126]Hahaha hizo ziko Zanzibar kwenye nyumba ya Makumbusho.
Vipi mhali gani na mwenzio?
Cc Kichwa KichafuHahahahha hv rays hamnaga tena eeh
Nakumisimo jaman my kaka
Kama Mfilisti basi hatusumbui vichwa,kama baunsa wao mkuu aliuwawa kwa jiwe moja tu la manati.....hawo wengine si wakupeperushwa kwa upepo tu [emoji38] [emoji12]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85]
Hahahaha ndo usiwaandame tena ili awe na Uhuru wa kuja tena, saivi ntampiga kiswahili aache hata Lita 500[emoji40]We mbaya, yaani ulipewa bombadia mbili ukanywa peke yako? Nami nataka...naomba bombadia 1 [emoji39] [emoji39]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Akikujibu hili,usisahau kuuliza na habari ya shift [emoji126] [emoji126]
Hivi kumbe masomo yenu mnafanyuaga hapa?We mbaya, yaani ulipewa bombadia mbili ukanywa peke yako? Nami nataka...naomba bombadia 1 [emoji39] [emoji39]
Tuko salama sana cjui nyieHahaha hizo ziko Zanzibar kwenye nyumba ya Makumbusho.
Vipi mhali gani na mwenzio?
Mbona mi nilishawaimbia tangu mwanzo ule wimbo wa 20% unaosema 'nakaa pembeni kuepusha msongamano'Hahahaha ndo usiwaandame tena ili awe na Uhuru wa kuja tena, saivi ntampiga kiswahili aache hata Lita 500[emoji40]
Unajifanya huelewi eeh![emoji2] [emoji2][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Shiftiii!!! kwakweli mimi kimalkia sikijui rudi tu umwulize mwenyewe