JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mi nakwambia hutaweza kuchoche hizo kuni ni mbichi, wajifanya hunielewi ....mahari bado nusu haijalipwa [emoji4] [emoji4]
Hata hiyo nusu sijiona, au ni zile bombadia mbili alizonipa baada ya kumkuta akiongea na nanihii..
 
We mbaya, yaani ulipewa bombadia mbili ukanywa peke yako? Nami nataka...naomba bombadia 1 [emoji39] [emoji39]
Hahahaha ndo usiwaandame tena ili awe na Uhuru wa kuja tena, saivi ntampiga kiswahili aache hata Lita 500[emoji40]
 
Hahahaha ndo usiwaandame tena ili awe na Uhuru wa kuja tena, saivi ntampiga kiswahili aache hata Lita 500[emoji40]
Mbona mi nilishawaimbia tangu mwanzo ule wimbo wa 20% unaosema 'nakaa pembeni kuepusha msongamano'

Basi tu nyie mmeamua kuniandama,ila mimi sinaga shida kabisa na mtu bali shida yangu ni balimi na viroba kwa sasa na bombadia [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom