Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hata hiyo nusu sijiona, au ni zile bombadia mbili alizonipa baada ya kumkuta akiongea na nanihii..Mi nakwambia hutaweza kuchoche hizo kuni ni mbichi, wajifanya hunielewi ....mahari bado nusu haijalipwa [emoji4] [emoji4]