JamiiForums Usiku wa manane

Jamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Karibu tuegeshe mbavu hapa kwenye box,upenuni mwa maduka ya wahindi hapa k'koo
 
02:17 am
I'm out.
Wa mwisho asisahau kufunga geti[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…