JamiiForums Usiku wa manane

Tangu hizi mvua za vuli zianze kuna watu hawakeshi tena na sisi hapa.......
Kichwa Kichafu
Nleterewa Nganengo
Neybright
Dingi mtoto
No Escape
Naona mvua hizi zimewaendea vyema wenzetu! [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mie nitoe kwenye list rafiki yangu
Yaan na kuwafungulia geti bado sina jema jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mie nitoe kwenye list rafiki yangu
Yaan na kuwafungulia geti bado sina jema jamani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nisamehe bure best. Nilikuhamu nikaona nikuite kijanja !
 
Hii mvua ipige kwa nguvu zote na upepo mkali, shughuli zisimame kwanza mpaka weekend ipite...

Cc: mahondaw
 
Ushauli huu ni wako lakini wansemea kwa lipi tena?

Hivi awepo Mama chanja na kibaridi hiki hapa nakwepoje sasa?
Kweli nimeamini hakuna mama chanja maana kwa baridi hii hata mkikoseana mnasameheana haraka kabla ya muda wa kulala [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Bwana wee hii hali ya hewa ukiwa na kikumbatio ni safi sana. Ndio maana wenye mikumbatio yao wametuacha solemba siku mbili tatu hizi
Hafu usizuge wewe hukwepo hizi siku mbili tatu ndo leo umeibuka sijui kumbato umelikumbatia kwa fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…