Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ok, but mi sijui dawa zinanipelekesha maana najiskia usingizi sina but sijiskii kuchangia moja kwa moja zaidi ya kusindikiza tu, nacheki movie hapaMsisahau kufunga geti,mi naondoka zangu nichoka kusindikizwa kimya kimya![emoji4] [emoji4]
Wengine ni kutokana na nature ya kazi zetu, binafsi hili tatizo limenianza kitambo sana, 2005 nikaona ni kitu cha kawaida mpaka leo hii hata kama usiku nitakesha basi mchana wala sisinzii, then siku nyingine naweza kufikisha siku tatu bila kulala.Watanzania wengi tunasumbuliwa na Insomnia.
Nimegundua hiki kitu na wengi wetu hutatua tatizo hili kwa kunywa pombe kuforce usingizi. Tusipokunywa tu ndio tunageuka popo
Yani usingizi naupata wa mafungu mafungu ukisinzia dakika 5 unshtushwa na kandoto ambako hakaeleweki au mbwa kabweka njeWengine ni kutokana na nature ya kazi zetu, binafsi hili tatizo limenianza kitambo sana, 2005 nikaona ni kitu cha kawaida mpaka leo hii hata kama usiku nitakesha basi mchana wala sisinzii, then siku nyingine naweza kufikisha siku tatu bila kulala.
Njoo gomz huku, mi tangu jana jioni uliporudi umeme naccheki movie hadi muda huuYani usingizi naupata wa mafungu mafungu ukisinzia dakika 5 unshtushwa na kandoto ambako hakaeleweki au mbwa kabweka nje
Sasa kazi unafanya sangapi mkuu?Njoo gomz huku, mi tangu jana jioni uliporudi umeme naccheki movie hadi muda huu
Sifanyi kazi siku zoteSasa kazi unafanya sangapi mkuu?
Okay, natamani ningekuwa kama wewe.. Mimi nagonga mzigo hata sikukuu siteSifanyi kazi siku zote
Unafanya kazi gani? Mimi ni fundi wa electronics but some days huwa naamua tu nitulie zangu home, ili kupumzisha akili.Okay, natamani ningekuwa kama wewe.. Mimi nagonga mzigo hata sikukuu site
We Masera, umeita wooote isipokuwa wale wenye damu ya kunguni...Ney bright Thad Manga ML a.k.a baba chanja @kichwakichafu @saintivuga Nleterewa Nganengo we user name ako ngumu bana aaaghaa. Mkuje basiii
Mbona kama huna meno mdomoni,masera ndio nini???We Masera, umeita wooote isipokuwa wale wenye damu ya kunguni...
Maserati nakupenda kama huu uzi[emoji38][emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124][emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mbona kama huna meno mdomoni,masera ndio nini???
Au huna kucha vidoleni?