JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ila hao viumbe wana hibernate muda mrefu sana sasa nahisi ikinyesha mvua kidogo possibly huwa wanatoka mashimoni hivyo unakuta wana ngunga moja kali sana wanataka wateme sumu
 
Msisahau kufunga geti,mi naondoka zangu nichoka kusindikizwa kimya kimya![emoji4] [emoji4]
Ok, but mi sijui dawa zinanipelekesha maana najiskia usingizi sina but sijiskii kuchangia moja kwa moja zaidi ya kusindikiza tu, nacheki movie hapa
 
Watanzania wengi tunasumbuliwa na Insomnia.

Nimegundua hiki kitu na wengi wetu hutatua tatizo hili kwa kunywa pombe kuforce usingizi. Tusipokunywa tu ndio tunageuka popo
 
Watanzania wengi tunasumbuliwa na Insomnia.

Nimegundua hiki kitu na wengi wetu hutatua tatizo hili kwa kunywa pombe kuforce usingizi. Tusipokunywa tu ndio tunageuka popo
Wengine ni kutokana na nature ya kazi zetu, binafsi hili tatizo limenianza kitambo sana, 2005 nikaona ni kitu cha kawaida mpaka leo hii hata kama usiku nitakesha basi mchana wala sisinzii, then siku nyingine naweza kufikisha siku tatu bila kulala.
 
Yani usingizi naupata wa mafungu mafungu ukisinzia dakika 5 unshtushwa na kandoto ambako hakaeleweki au mbwa kabweka nje
 
Back
Top Bottom