Duh! Ukimuona msalimie,mwambie nimemhamu mpaka naumwa.kk namuona mitaa flani ila hao wengine sijui kama mvua imewaacha salama na simu zao[emoji3]
Usitufanyie hivyo aisee....Nawaacha kama nilivyowakuta mkuu Thad
Au niwaache vipi [emoji23] [emoji23]
Angalia AZAM 103 LIVE HARUSI YA JOTI NI BURUDANI TOSHA.KUNA SEBENE LINAPIGWA NA JOTI ANAKATA MAUNO NA CHRISTIAN BELLA HATARI AU WEKA TBC UONE MATANGAZO YA SERIKALI KUHAMIA DODOMANimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
ShikamoUsitufanyie hivyo aisee....
Angalia namna yoyote ya kutuacha tumefurahi![emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hiiAngalia AZAM 103 LIVE HARUSI YA JOTI NI BURUDANI TOSHA.KUNA SEBENE LINAPIGWA NA JOTI ANAKATA MAUNO NA CHRISTIAN BELLA HATARI AU WEKA TBC UONE MATANGAZO YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
Huyo unayemshauri kalala fofofo tangu saa12:30 jioni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia AZAM 103 LIVE HARUSI YA JOTI NI BURUDANI TOSHA.KUNA SEBENE LINAPIGWA NA JOTI ANAKATA MAUNO NA CHRISTIAN BELLA HATARI AU WEKA TBC UONE MATANGAZO YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
amna shida nitafikisha salamu zako, daah hao tuombe tu watarudi kilingineDuh! Ukimuona msalimie,mwambie nimemhamu mpaka naumwa.
Hao wengine sasa sijui tutawapataje....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Oooh! Basi nenda zako tu, maana naona unataka kunizeesha [emoji12] [emoji12] [emoji12]Shikamo
Kabisa....maana watu tumewahamu mpaka tunaumwa sasa....wasiwasi wangu ni kwamba tutakuja kupisha watarudi kilingeni wakute wenzao tumelazwa kwa kuwahamu [emoji23] [emoji23]amna shida nitafikisha salamu zako, daah hao tuombe tu watarudi kilingine
Tehteh!!....Oooh! Basi nenda zako tu, maana naona unataka kunizeesha [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sina kwa kweli....maana umri wangu ni sawa na wa Mugabe, na serikali yake imetangaza aitwe baby maana hajazeeka [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tehteh!!....
Kwani huna uzee mkuu Thad?
[emoji1] [emoji1] hilo lipishie mbali kabisa, Mungu atupe uzima hadi wakirudiKabisa....maana watu tumewahamu mpaka tunaumwa sasa....wasiwasi wangu ni kwamba tutakuja kupisha watarudi kilingeni wakute wenzao tumelazwa kwa kuwahamu [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina kwa kweli....maana umri wangu ni sawa na wa Mugabe, na serikali yake imetangaza aitwe baby maana hajazeeka [emoji2] [emoji2] [emoji2]
dingimtoto[emoji1] [emoji1] hilo lipishie mbali kabisa, Mungu atupe uzima hadi wakirudi
Amina! [emoji120][emoji1] [emoji1] hilo lipishie mbali kabisa, Mungu atupe uzima hadi wakirudi
yes kamanda..!![emoji61]dingimtoto
Haya njoo sasaMbona unanikimbia jmb mimi ndio kwanza naingia
amen..!!Amina! [emoji120]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji120][emoji120]Niko poa sana aisee! Niliwahamu tu wewe na wenzio akina;
Nleterewa Nganengo (mwl.wangu)
Kichwa Kichafu (jirani yake Neybright)
No Escape (mmiliki wa kampuni hii)
jje's (.....wa K.K)
Samaritan (anitishiae bawa)
Na wengineo...umewaacha wapi hao watu jamani? Inamaana wao bado wanajukumuka tu? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mambo vip mkuuyes kamanda..!![emoji61]