Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Duh! Ukimuona msalimie,mwambie nimemhamu mpaka naumwa.kk namuona mitaa flani ila hao wengine sijui kama mvua imewaacha salama na simu zao[emoji3]
Hao wengine sasa sijui tutawapataje....[emoji134] [emoji134] [emoji134]