Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Inna popo sugu mwenzio ametokeaPopooooozz, mko poa? Kama kawaida popo konhwe napiya kuwasalimu, nipo kuna majukumu nafanya mtaniona ona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inna popo sugu mwenzio ametokeaPopooooozz, mko poa? Kama kawaida popo konhwe napiya kuwasalimu, nipo kuna majukumu nafanya mtaniona ona.
Popo suguuuPopooooozz, mko poa? Kama kawaida popo konhwe napiya kuwasalimu, nipo kuna majukumu nafanya mtaniona ona.
Kilijiunga halichachi lakini ilikuwa inapiga kila saa,salio limekwisha.limechachaBasi vizuri
Mvua imepumzika huko
Kasema anamjua atakutajia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kujua na mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmenifurahisha kwa kweli!Pole buddy,naona kila kona baba chanja ishakuwa ishu. Sorry bana
Nipoooo nakuona tu nakuzoooom kila sikuMarhaba...upo wewe??? ulipotelea wapi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] Tunaitana hivyo na Kichwa kichafu siku nyingi tu.....Kumbe kuna ma hunter humu?
Oooooh. Basi sawa,mengine kapuni wizo[emoji16][emoji16][emoji16]Teh teeeh alikwambiajeee??? Nilikua somewhere hamna network
Ohooo wanaojulikanaWe njoo huku kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yamefutwaAhaa sikuoni humu vizuri kama yalisha futwa
Nimesingiziwa jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] jirani aje kutoa maelezo hapa.
Nipo nipo kontena lako la usingizi ulinipa lote
Umefurahi na lipi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmenifurahisha kwa kweli!
kimya kimya hahahaNipoooo nakuona tu nakuzoooom kila siku
Unanikana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingizi tu hamna kingine nilipungukiwa kulala mwilini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiooo kimya kimya tukimya kimya hahaha
Mwanafunzi anuliza vifaa kama vimekamilika kazi unayoHakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hivyo vyote baada ya kusema ninavyo njoo mama
Wa nia njemaKumbe kuna ma hunter humu?
sawa karibia tena InnaNdiooo kimya kimya tu