JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] Tunaitana hivyo na Kichwa kichafu siku nyingi tu.....

Vipi naona unajibebisha...ndio tayari nini tujue ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tayari nini?
Hivi unajua lakini kama huyo hunter na baby wako ni majirani walioshibana sana? Yaani wale ambao iliimbwa kuwa ni kitu kimoja haina haja kunyimana!
(Najisemea tu, mimi nae huu mdomo utaniponza)[emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom