JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani ni utani tu best! Unadhani usiku huu bila mautani muda unasonga basi!?
Utani najua,lakini ambavyo ulilikomalia nikaogopa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
 
Utani najua,lakini ambavyo ulilikonalia nikaogopa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Usiogope mwanakwetu....ila kama hamkupenda nilivyokuwa nachochea kuni basi nitaacha kama nilivyoacha kuwatakia watu R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…