JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmmh! Kweli umenishushua na umbea wangu....mi ilitaka niwagombanishe....[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah we nawe bwana!
Mission failed!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
5b13e0a917724ec0dabb07d30490a26e.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani ni utani tu best! Unadhani usiku huu bila mautani muda unasonga basi!?
Utani najua,lakini ambavyo ulilikomalia nikaogopa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
 
Utani najua,lakini ambavyo ulilikonalia nikaogopa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Usiogope mwanakwetu....ila kama hamkupenda nilivyokuwa nachochea kuni basi nitaacha kama nilivyoacha kuwatakia watu R.I.P
 
Back
Top Bottom