Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Kwa hali hii huyu jirani yetu inaonyesha wakati udongo wake unafinyangwa Mirinda nyeusi ilitumika, sio kwa kutekwa huku mkuu[emoji40] [emoji125] (wagonjwa tuna shida sana)Sweetlove, Naona nimechoka ngoja sasa nikaupumzishe mwili nimechoka kweli naenda kulala..
A day is going to end again. It is nice to have someone like U making everyday seems so great. Thank U my love and may all the angels guard you this night!
i wish you were here[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Poapoa lovely shemUsiku mwema shem....[emoji8] [emoji8]
Naona paap mnakimbia pamoja[emoji40]Guys love you all, naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Kila la kheri nyote mkeshe salama.
Kwa hili naona umekubaliana na wahenga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli nimeamini "every man has a price"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We sikuwezi, mimi nimelike kinywaji, ila siku zote ukipenda boga unatakiwa upende na ua lake[emoji40] [emoji125]
Hahaha aiseee ndio hivyo...(pole mkuu)Kwa hali hii huyu jirani yetu inaonyesha wakati udongo wake unafinyangwa Mirinda nyeusi ilitumika, sio kwa kutekwa huku mkuu[emoji40] [emoji125] (wagonjwa tuna shida sana)
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Dawa ya moto ni moto....we kunywa tu ndo utapona [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka hata wewe unatamani kuwafahamu!
Ahsante Kamanda, sasa kidogo afya inarizishaGet well soon Kamanda
Halinipi shida hilo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka hata wewe unatamani kuwafahamu!
Poapoa utapona kabisa...peace sanaAhsante Kamanda, sasa kidogo afya inarizisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata jana ilikuwa hivo....hawa kweli wanapendana kwa dhati ndio maana hata usingizi wanaupata kwa wakati mmojaNaona paap mnakimbia pamoja[emoji40]
[emoji23] [emoji23]Iceman ni mpenzi wangu tafwadhali sana, mbona unakuwa hivyo Thad jamani
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji119] [emoji119]Halinipi shida hilo.....
Acha uchochezi....
Kweli shost yangu anafaidi, ndo maana haishi kukusifia ....[emoji2] [emoji2] [emoji2]kazi kwako shem sasa...hizo ni za kwenye wallet, bado Benki, Tigo pesa, M pesa, Airtel money n.k
Kwanini mkuu?Ogopa jimama linaloGida balimi extra fahari ya wasukuma
Pamoja mkuu, Mlale unonoHunter Kichwa Kichafu
Maserati
Lovely Shem Thad
Nleterewa Nganengo
Gentries
Internal
Na wengineo niliowasahau kwenye List....nawatakieni usiku mwema mlale unono...tukutane hapo baadae tena kukikucha!! Salute nyingi kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sio mgonjwa wewe