JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sweetlove, Naona nimechoka ngoja sasa nikaupumzishe mwili nimechoka kweli naenda kulala..



A day is going to end again. It is nice to have someone like U making everyday seems so great. Thank U my love and may all the angels guard you this night!


i wish you were here[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kwa hali hii huyu jirani yetu inaonyesha wakati udongo wake unafinyangwa Mirinda nyeusi ilitumika, sio kwa kutekwa huku mkuu[emoji40] [emoji125] (wagonjwa tuna shida sana)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We sikuwezi, mimi nimelike kinywaji, ila siku zote ukipenda boga unatakiwa upende na ua lake[emoji40] [emoji125]
Kwa hili naona umekubaliana na wahenga [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli nimeamini "every man has a price"

Bila shaka umependa zaidi ua kuliko boga lenyewe [emoji126] [emoji126]
 
2f2e25de26b7a4aab5fdac6435ba2f71.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka hata wewe unatamani kuwafahamu!
 
Safi....viongozi Msali kila mtu kwa imani yake humu ndani msilale kama mbuzi

Hata mbuzi mwenyewe anapiga meeehehehe mbili kabla hajalala...kuashiria anamsifu Muumba wake
 
Back
Top Bottom