Labda anataka apokee majibu pamoja na jjesNa amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sana
Asante sana usisahau siku ni muhimuPole sana Manga; hivi kumbe jana ilikuwa j3 eeeh
Nishasahau nasubiria xmass bhna Mungu aniongoze nifike salama[emoji8]
Zile za mbege nishaziweka kando[emoji12]
Ahsante kwa kunipa moyo.Wala usiogipe huoni kamjibu kijanja? Bado yuko na wewe usihofu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Labda anataka apokee majibu pamoja na jjes
Jiamin tu usijali kbsaAhsante kwa kunipa moyo.
Wanasemaga dalili ya mvua mawingu
Kwani na wewe unajua majibu tayari eeeh[emoji12]Labda anataka apokee majibu pamoja na jjes
Hayo majibu yana wahusu nyieKwani na wewe unajua majibu tayari eeeh[emoji12]
Haya ngoja tuyasubiriHayo majibu yana wahusu nyie
Kasolo mimi.Niwatakie uck mwema nyote. Naona j3 ya leo imekubali haswaaa. Kila mtu kachoka
Popo mwenyeweGate limefunguliwa...popozzzzzzz[emoji351]
Ulikuwa hujui???Popo mwenyewe
Nipoooo wengine hata siwaoniMpoooooo
[emoji15] [emoji15]Niitie Nganengo labda wako masomon[emoji85]
Naona baridi imewaingia jamaniNipoooo wengine hata siwaoni