Afadhali umesema hadharan, hawa wana lao jambo ndo maana my kaka hataki kutoa kauliMimi sijawahi kua mwalimu wake nakanusha vikali
Haaa kumbeee basi jibu tu tunasikiliza[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahaha mkuu nimeona wameniandama sana nikaona niite assist kijanja[emoji40]
Yes dear, si unajua mie ni bundi?Mie naona dar leo kuna joto. Vipi mamy ndio umerudi rasmi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe uko likizo tatizo hujaripoti kwa incharge.
Hahaha, mshiki mimi wala sijui, ila nasikia kuna kamsemo kenu mnasemaga "raha ya mume muwe wanne" vumilia mshiki[emoji85] [emoji40] [emoji125]Msacha nitinye bhana naona kama mnamjua[emoji12]
Hahaha mshiki, hii bakora kamwe haichapi ndugu, ikikugusa ni laana kubwa[emoji85] [emoji40]Unaenda wapi? Ukuje ujibu tu hapa
Uwiii mm nina wivu msacha si unaona hadi kapua kanatoa jasho kenyeweeeeHahaha, mshiki mimi wala sijui, ila nasikia kuna kamsemo kenu mnasemaga "raha ya mume muwe wanne" vumilia mshiki[emoji85] [emoji40] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe uko likizo tatizo hujaripoti kwa incharge.
Nimependa kwenye angalizoHahaha mshiki, hii bakora kamwe haichapi ndugu, ikikugusa ni laana kubwa[emoji85] [emoji40]
Angalizo:- Sijawahi kuchapa nayo mtu[emoji87]
Mshiki, unajua bado sijapona vizuri, niletee basi hata sharubati baridi[emoji12]Afadhali umesema hadharan, hawa wana lao jambo ndo maana my kaka hataki kutoa kauli
Amlete leo tu ajibu maana na hii baridi cjui kama kuna kukatiza[emoji12]
Salama mkuu, karibu kilingeni
Hahaha basi, mama chanja hutaniwi[emoji3]Jomoniiii
Nakusemea kwa baba chanja
[emoji38] [emoji38] [emoji38] unajua kuni[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Mshiki, unajua bado sijapona vizuri, niletee basi hata sharubati baridi[emoji12]
Atii nawe humuogopi baba chanja au spade wangu?Maserati eti njoo tuunganishe baridi zetu hukuu..
Hahaha usihofu bhana, kapua kutoa jasho ni dalili za afya njema ujue.Uwiii mm nina wivu msacha si unaona hadi kapua kanatoa jasho kenyeweeee
Acha hizo usije nipoteza[emoji85]
We baba kayaii weweHahaha basi, mama chanja hutaniwi[emoji3]
Nilijua tu, ungeanzisha kamada kama nisingeweka angalizo[emoji6]Nimependa kwenye angalizo