Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15]Uwiii niitie bhana
Wewe na nganengo mnajua habari zake
Ohoooh komredi naona umeamua kupindisha kombora.Labda nganengo mii hapana na huenda wapo wote japo nganengo sijamuona akichungulia hapa
[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125]Inawezakana, kuna mida jana alikuwa anamuulizia kupoteza maboya[emoji12]
Hahahaha eti unalaza mbavu, si useme tu ukweli? Unafikiri sijaona ulivyoitwa[emoji40] [emoji85]Watu naona mna usingizi acha na mm nilaze mbavu zangu
Mkiamka nistue
Hahaha u-baby unamsumbua akikua ataacha[emoji6]Oyoooooooooooooo baby amekasirika hataki hata kuitikaaaaaaaaaa,
[emoji23] [emoji23]Jf usiku mnene ndio mkombozi wangu[emoji1][emoji1]
Eti eeh ngoja nimsubiri akue maana daah nilipojaribu kumpapasa niliambulia teke la hukuuuu.... lolHahaha u-baby unamsumbua akikua ataacha[emoji6]
Oyooooooo safi sanaaaaaa.[emoji23] [emoji23]
Tulale balimi zimwagike?
Hapa mpaka jogoo atoke bandani
Aisee, pole sana[emoji24] [emoji24]Eti eeh ngoja nimsubiri akue maana daah nilipojaribu kumpapasa niliambulia teke la hukuuuu.... lol
duuh nije kwako huogopi ile "if you do me i do you" lol mjini hapa.Aisee, pole sana[emoji24] [emoji24]
Yani anathubutu kukupiga mpaka teke la hukooo... Kweli penye miti hapana wajenzi[emoji40]
Kama vipi toroka uje[emoji85]
Yah gal, usikute jamaa umemvalia overall na mkanda mzito kama wa jeshini ndo maana kamaind[emoji6]Oyooooooo safi sanaaaaaa.
mpk kokolikoooooo
LolYah gal, usikute jamaa umemvalia overall na mkanda mzito kama wa jeshini ndo maana kamaind[emoji6]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]duuh nije kwako huogopi ile "if you do me i do you" lol mjini hapa.
hapana[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja niendelee kunywa balimi yangu taratibu, au ni lijamaa limekunyang'anya simu limeamua linipige biti[emoji57]
Sasa woga wa nini bibie,[emoji39]hapana