Umejuaje kama anayekoroma pembeni ni 'jamaa'Mlege kitu gani bhana, Mimi ni jasiri kama jamaa anayekoroma beside you, sema mi sio mtu wa kununa nuna[emoji6]
Nikinuniwa usiku ndio kinyoonge nakuja huku.... kukumbatiwa raha wewe... lolWewe unaonekana baadhi ua siku umetukimbia pande hizi
Laaa kuchaSiku hizi sio kwa namna hii, uncle kabana kila kona aisee
Mlango unafungwa saa 11 kamili asubuhi, Leo utatusaidia kufunga meku.Mshafunga mlango
Hahaha kwakweli, kabana mpaka Bundi Thad wetu na Dirty head wamehamia nchi jirani[emoji40] [emoji125]Siku hizi sio kwa namna hii, uncle kabana kila kona aisee
Bby kweli nilikumisNiliwamiss kuliko kawaida...
Neybright kwanini wachonganisha mapenzi ya jje's na Kichwa Kichafu? Hakika nimefurahi kuona mlivyosimama kidete kutetea penzi lenu.
Manga ML nilikumiss japo ulikataa katakata kunifunza kubet
Nleterewa Nganeno nilimiss balimi na bombadia zako,bia za ofa zina utamu wake bwana
Maserati nilikumiss na swaga zako za kuwaita wenzio akina baba nanilu...