Nafurahi kuwaona [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameanza kujitokeza[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38]
Ukweli gani tena?[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mmm hapana sio uzee sema ukweli
Mimi apa tayari bado nganengoWatakuja kuchungulia muda si mrefu
Bhasi imependeza zaidi jje'sIpo mkuu
Acha niwaavhie ukumbi maana naona meno yote ya Manga yako nje kukuona.Nafurahi kuwaona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oooh! Nimemham mno huyo jirani wa dunia
Ulikua wapi?Ukweli gani tena?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bhasi imependeza zaidi mkuuHapa amani tele,ukiingia hutakaa utamani kutoka.[emoji4] [emoji4]
Bora umemtahadharisha maana akinipa kesi tu napotea kama ilivyo ada ya hapa kilingeni[emoji2] [emoji2] [emoji2]Acha niwaavhie ukumbi maana naona meno yote ya Manga yako nje kukuona.
Muulizane maswali taratibu msije tokomea tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Nilienda shamba kulima na kupanda si unajua tena mvua za vuli hizi zishaanza?Ulikua wapi?
Nimefurahi kukuonaMimi apa tayari bado nganengo
Jisikie huru mkuu,hapa ni sawa na shamba la bibi chochote chakoBhasi imependeza zaidi mkuu
Atasijui ni vipi vipiii labda ile kesi ya KK maanaalikuja kutoa machozi mda si wake ha ha haaaOooh! Nimemham mno huyo jirani wa dunia
Nleterewa Nganengo umemwacha wapi lakini? [emoji4] [emoji4]
Ati nini?
Sikupi kesi nakupa pakora uishike shike tuBora umemtahadharisha maana akinipa kesi tu napotea kama ilivyo ada ya hapa kilingeni[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ile kesi nilitamani sana ningekuwepo ili niisimamie....kweli ana bahati. Ila nimeamini Kichwa Kichafu ni gentleman maana sio kwa utetezi ule,alimbembeleza jje's mpaka nikaona gere.Atasijui ni vipi vipiii labda ile kesi ya KK maanaalikuja kutoa machozi mda si wake ha ha haaa
Huyu Nleterewa Nganengo usituzuge kwa maana mnajua vema tuambie tu umemuacha wapi?
Bakora ya nini wakati uligoma kuwa mwalimu wangu?Sikupi kesi nakupa pakora uishike shike tu
Ha ha haaa basi mna mikwaraaaa kama vile mpo sayari ingine ha ha haaaAti nini?
Njoo twende zetu,ila shurti ujue kulima haswa. Maana nimeamua kugeukia sera ya mwalimu ya siasa ni kilimo,