Rafiki yangu arudi tu kwanza hakua yeye Neybright nijarini mtiifu hawezi kua mchochozi kuna alie hak id yakeIle kesi nilitamani sana ningekuwepo ili niisimamie....kweli ana bahati. Ila nimeamini Kichwa Kichafu ni gentleman maana sio kwa utetezi ule,alimbembeleza jje's mpaka nikaona gere.
Kama waweza kweli kulima,basi twende zetu kabla Maserati na Nganengo hawajaja kutuharibia mipangoHa ha haaa basi mna mikwaraaaa kama vile mpo sayari ingine ha ha haaa
Mimi ntalima haswaaa kadri ya utakavyo ni shawishi naamini twalima wote
Bakora sio mpaka uwe mwanafunzi ndo uchapwe na bakora hii inatumika tu joto likiwa juu usii khofu ulisha ambiwa haiumiziBakora ya nini wakati uligoma kuwa mwalimu wangu?
[emoji39] [emoji8] [emoji8]Wow! Nafurahi kukuona best wa mimi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] I see!Bakora sio mpaka uwe mwanafunzi ndo uchapwe na bakora hii inatumika tu joto likiwa juu usii khofu ulisha ambiwa haiumizi
Ohooo haya sina aridh sijui hili jembe langu ntalitumia wapi nnavo tamani sasa hata kuazima tu hongela sana kwako kama nawee umejifariji na mvua hiziNilienda shamba kulima na kupanda si unajua tena mvua za vuli hizi zishaanza?
Nakusubili huku kwani hiyo ardhi ni ya nchi gani?Kama waweza kweli kulima,basi twende zetu kabla Maserati na Nganengo hawajaja kutuharibia mipango
Kwa huyu hapana nganengo anamkubali piaOohooo! Naona umesahau kuwa umdhaniaye ndiye kumbe siye....
Haya bola umeonekana tuWacha nijilaze sasa maana alfajiri natakiwa niwahi shambani kuendelea na kilimo