JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ile kesi nilitamani sana ningekuwepo ili niisimamie....kweli ana bahati. Ila nimeamini Kichwa Kichafu ni gentleman maana sio kwa utetezi ule,alimbembeleza jje's mpaka nikaona gere.
Rafiki yangu arudi tu kwanza hakua yeye Neybright nijarini mtiifu hawezi kua mchochozi kuna alie hak id yake
 
Ha ha haaa basi mna mikwaraaaa kama vile mpo sayari ingine ha ha haaa

Mimi ntalima haswaaa kadri ya utakavyo ni shawishi naamini twalima wote
Kama waweza kweli kulima,basi twende zetu kabla Maserati na Nganengo hawajaja kutuharibia mipango
 
Nilienda shamba kulima na kupanda si unajua tena mvua za vuli hizi zishaanza?
Ohooo haya sina aridh sijui hili jembe langu ntalitumia wapi nnavo tamani sasa hata kuazima tu hongela sana kwako kama nawee umejifariji na mvua hizi
 
Kama waweza kweli kulima,basi twende zetu kabla Maserati na Nganengo hawajaja kutuharibia mipango
Nakusubili huku kwani hiyo ardhi ni ya nchi gani?

Itakua walimaji hakuna siku hizi mpaka ardhi zina khofu kuachwa na magugu khatara sana ntajitahidi wewe twende tu
 
huu uzi ni usiku to usiku mchana hua unapotea
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
Siku mpya inaanza,Nimwabudu Mungu kwanza,
Mungu wangu baba yangu,Upokee shukrani zangu!

Nawasalimu popo wenzangu wote....
 
Back
Top Bottom