Sijambo, maisha yanasongaasante, miss Thad
vp mzima wewe?
naam!! namshukuru Mungu hadi kufika leo maana si kwa uweza wangu,Sijambo, maisha yanasonga
Wewe je,u buheri wa afya?
Pole shemheheh!! bora ningefichwa shem yaliyo nikuta we acha tu [emoji19]
Hakika wa kushukuriwa ni Mungu!naam!! namshukuru Mungu hadi kufika leo maana si kwa uweza wangu,
za majukumu
hilo ndilo la msingi kabisaaa,Pole shem
Tumshukuru Mungu uko salama
Dr. Louis amewaharibu wengiKama mshtuko haujawa mkubwa sana basi inapendeza!
Usalama upo shemhilo ndilo la msingi kabisaaa,
vp salama huko uliko?
Mimi ado ado yanaenda, mwaka unaisha sasa namna gan mwakani panapo majaliwa tulisongeshe gurudumuHakika wa kushukuriwa ni Mungu!
Majukumu yanasonga,sijui kwa upande wako
Tufanye hatujaharibika wengi say 900 itapendeza zaidi!Dr. Louis amewaharibu wengi
Mimk wa Arusha ila sipakumbukiNiko pin point hapa arusha kumbe hili jiji balaaaa
nashukuru!!! shem Mungu amenipigania mwenzio ajambo?Usalama upo shem
Duuuh asante Mungu kukulinda na kukuvusha
Hajambo,anakusalimia.Mimi ado ado yanaenda, mwaka unaisha sasa namna gan mwakani panapo majaliwa tulisongeshe gurudumu
shem wangu ajambo?
asee, mpe naye salaam zanguHajambo,anakusalimia.
Wifi yangu je, naye hajambo?
Fanya mpango wa kumtafuta bestasee, mpe naye salaam zangu
wifi yako badobado hayupo
hmm.!![emoji47]Fanya mpango wa kumtafuta best
Wakati ukifika usisahau kunipa kadihmm.!![emoji47]
hilo hamna shida kila jambo na wakati wake
[emoji14] [emoji14] !! hatakw3nye kamati utakuwepoWakati ukifika usisahau kunipa kadi
Ngoja nijiandae [emoji39] [emoji39][emoji14] [emoji14] !! hatakw3nye kamati utakuwepo
kaa tayar