Hivi kichwa kichafu na jiran yake Neybright wako wap???Huyu ama yule....mbona wanichanganya? Ndo maana Kichwa Kichafu kapotea hapa jukwaani,nadhani kesha jua kua anaibiwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umejuaje? Huyu best ni mtaalamu wa muda wa kuandaa mashamba, nahesabu tu miezi 9 baadae tuvune[emoji12] [emoji85]Ndio dear ulikua hujui? Vp ulipotelea wap kuandaa mashamba au
ShikamooooNa wewe kwa kuchochea moto hujambo[emoji57]
We huoni maharage yashaiva[emoji40]
Hahaaaa hivi nani ana hela zaidi Kk au huyo str....maana nasikia anayeitwa shemeji ni mwenye hela,asokuwa nazo huitwa mume wa dadaNa wewe kwa kuchochea moto hujambo[emoji57]
We huoni maharage yashaiva[emoji40]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndo maana nduguyo Nleterewa Nganengo haonekani hapa,yuko busy kukusanya pesa za kumpeleka kwenye sensa ya Krismas Moshi eeeh!
Yupo mbona? Nimeona kama kapita au naota[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji12]Ndo maana nduguyo Nleterewa Nganengo haonekani hapa,yuko busy kukusanya pesa za kumpeleka kwenye sensa ya Krismas Moshi eeeh!
Poasiwezi kukwambia
Kama sio hela ni Ksiwezi kukwambia
Miss u more more mshiki, Niko nashughulikia zawadi yako ya krismass hapa Yono[emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] my kaka mimi misi you mingi
Mbona unataka kuniharibia lakini?[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Huyu ama yule....mbona wanichanganya? Ndo maana Kichwa Kichafu kapotea hapa jukwaani,nadhani kesha jua kua anaibiwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tangu Neybright amsemelee jirani yake Kichwa Kichafu naona wamenuniana na wanaogopa kuja hapa maana tutawasuluhisha.... (Ila mi sijui nasikia tu kwa watu)Hivi kichwa kichafu na jiran yake Neybright wako wap???
Kwan kuna nn tena kati ya jje na kichwa kichafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua tu ndo hvyoooKama sio hela ni K
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji38]
Bora tukose wote [emoji126] [emoji126]Mbona unataka kuniharibia lakini?[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Kwa taarifa nilizopata hawa majirani sasa wamekua zaidi ya ndugu ndani ya bandama na mioyo yao[emoji40]Hivi kichwa kichafu na jiran yake Neybright wako wap???
Kwan kuna nn tena kati ya jje na kichwa kichafu
Aiseeee kumbe ni mabeby hahahaaa we Thad ww hufai kwa uchonganishiTangu Neybright amsemelee jirani yake Kichwa Kichafu naona wamenuniana na wanaogopa kuja hapa maana tutawasuluhisha.... (Ila mi sijui nasikia tu kwa watu)
jje's na Kk ni mabeby
Muache tu, kwenye ile kutambulishana kindugu ndugu kwanza hatumualiki. C unajua kuna kuwa na vitu viki na vizito?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38]Na wewe kwa kuchochea moto hujambo[emoji57]
We huoni maharage yashaiva[emoji40]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Shikamoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]Kwa taarifa nilizopata hawa majirani sasa wamekua zaidi ya ndugu ndani ya bandama na mioyo yao[emoji40]
Na wako kwenye zoezi zito la kupigana chabo[emoji85]