JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi kichwa kichafu na jiran yake Neybright wako wap???

Kwan kuna nn tena kati ya jje na kichwa kichafu
Tangu Neybright amsemelee jirani yake Kichwa Kichafu naona wamenuniana na wanaogopa kuja hapa maana tutawasuluhisha.... (Ila mi sijui nasikia tu kwa watu)

jje's na Kk ni mabeby
 
Hivi kichwa kichafu na jiran yake Neybright wako wap???

Kwan kuna nn tena kati ya jje na kichwa kichafu
Kwa taarifa nilizopata hawa majirani sasa wamekua zaidi ya ndugu ndani ya bandama na mioyo yao[emoji40]
Na wako kwenye zoezi zito la kupigana chabo[emoji85]
 
Back
Top Bottom