Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha mimi sijasema million, nimesema 900 itapendeza[emoji12]Kwan mm na Ney ndo watekaji?
The teh
HakikaHahaha mimi sijasema million, nimesema 900 itapendeza[emoji12]
Pamoja mkurugenzi was threadniponipo jjes karibu tujumuike
Hahaha hapo ndipo penye majibu, hunter atajifanya haoni na ukimbana sana, unashangaa anapotea ghafla[emoji40][emoji15] [emoji15]
Salama mkuu, vipi mbona hii U-Turn kali namna hiyoSslama humu watu wa Mungu, usiku mwema, wanao kesha kesheni salama...!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah!Nlererewa hujaacha tu mambo yako! naona unaanza uchochezi mapemaaa
Njoo nikupe mbinu na namna ya kupata usingizi mnonousingizi hauji mwenzenu,mawazo sina ila usingiz umegoma.
Naomba mwenye tatizo kama langu time hii tuendelee kuchat ili tusindikizane mpaka asubuhi.
NB: thread hii kucomment mwisho saa 1 asubuhi maana nitakaokuwa nimekesha nao tutakuwa tuko busy kusinzia ofisini na kutakuwa kushakucha.Asanten
Pole tatizo nin mrembousingizi hauji mwenzenu,mawazo sina ila usingiz umegoma.
Naomba mwenye tatizo kama langu time hii tuendelee kuchat ili tusindikizane mpaka asubuhi.
NB: thread hii kucomment mwisho saa 1 asubuhi maana nitakaokuwa nimekesha nao tutakuwa tuko busy kusinzia ofisini na kutakuwa kushakucha.Asanten
wewe je?We mlinzi
Utakuwa upo zamu ya lindo unataka ukeshe na watu hahahahaaausingizi hauji mwenzenu,mawazo sina ila usingiz umegoma.
Naomba mwenye tatizo kama langu time hii tuendelee kuchat ili tusindikizane mpaka asubuhi.
NB: thread hii kucomment mwisho saa 1 asubuhi maana nitakaokuwa nimekesha nao tutakuwa tuko busy kusinzia ofisini na kutakuwa kushakucha.Asanten
tatizo wakati nawe hujalala?!!?Pole tatizo nin mrembo
Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa adamu (ndo tunakusananya tuanze kuomba baadae)Mmelala wote au