JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

usingizi hauji mwenzenu,mawazo sina ila usingiz umegoma.

Naomba mwenye tatizo kama langu time hii tuendelee kuchat ili tusindikizane mpaka asubuhi.

NB: thread hii kucomment mwisho saa 1 asubuhi maana nitakaokuwa nimekesha nao tutakuwa tuko busy kusinzia ofisini na kutakuwa kushakucha.Asanten
 
Njoo nikupe mbinu na namna ya kupata usingizi mnono
 
usingizi hauji mwenzenu,mawazo sina ila usingiz umegoma.

Naomba mwenye tatizo kama langu time hii tuendelee kuchat ili tusindikizane mpaka asubuhi.

NB: thread hii kucomment mwisho saa 1 asubuhi maana nitakaokuwa nimekesha nao tutakuwa tuko busy kusinzia ofisini na kutakuwa kushakucha.Asanten
Pole tatizo nin mrembo
 
Utakuwa upo zamu ya lindo unataka ukeshe na watu hahahahaaa

MGAMBO BANA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom