Jana,leo na kesho...tHAd
Naomba kila ukiitwa roll call unaitika "JANA NA KESHO"
Poa Mkuu,tuko pamoja.Salama kabisa kiongozi
Huyu yuko leaders.[emoji271] [emoji778] unG Bl[emoji778] [emoji778] d
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu yuko leaders.
Saa saba bado dk 20Huyu yuko leaders.
Heshima yako mkuuKichwa kichafu
Nifundishe vyote bibie nipo tayari nitakuja sehem yeyote usemayo[emoji39]Unataka nikufundishe nini? Wewe nitakufundisha bure kabisa chochote utakachotaka kufunzwa [emoji4] [emoji4]
Kale ka mungu ka Dar nilikaona kanajivinjari eneo hilo na manjagu msafara wa Magu hauoni ndani.Huyu yuko leaders.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ngoma inakesha achana na habari za grace MugabeSaa saba bado dk 20
Wale jamaa wa Lugalo hawajasema lakini kama kuna maharamia yanamzunguka mkulu. Grace Mugabe wa Dar anaweza aka win ngoma. Mi nshachapa rapa nasikilizia.Ngoma inakesha achana habari za grace Mugabe
Niko salama mkuu wangu, nasikilizia mwangwi wa dingi wa Dar kwanza.Heshima yako mkuu
Haina shida Nleterewa Nganengo atakuleta kwangu maana naye ni mwanafunzi wangu japo yeye analipia..Nifundishe vyote bibie nipo tayari nitakuja sehem yeyote usemayo[emoji39]
Nilijua nitakuwa pekee yangu kumbe tupo wengi hapo nitashindwa kuelewa maana na bichwa zito(mgumu kuelewa mwepesi kusahau) [emoji23] [emoji23]Haina shida Nleterewa Nganengo atakuleta kwangu maana naye ni mwanafunzi wangu japo yeye analipia..
Hivyo usimwambie kama wewe unasoma bure asije akakupoteza bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]