JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wewe muoga sana
Wee sikia tu hiyo kitu ya moshi wa machozi ikipigwa na wale wajomba. Afu sasa uwe na android na vibaka wawe walikuona una jf. Sasa ngoma ni pale kila mtu anatimka utashangaa vibaka wanakuja kujificha kwako. Acha kabisa, bora ya kunguru muoga!!
 
Hahaha, kwahiyo ushafika Mbagala tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilijua nitakuwa pekee yangu kumbe tupo wengi hapo nitashindwa kuelewa maana na bichwa zito(mgumu kuelewa mwepesi kusahau) [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kichwa chako ndo kizito hivyo itabidi ulipie tu ili nikufundishe peke yako!
Maana kutumia nguvu kubwa bure,wito wangu wa ualimu utapotea [emoji4] [emoji4]
 
Wee sikia tu hiyo kitu ya moshi wa machozi ikipigwa na wale wajomba. Afu sasa uwe na android na vibaka wawe walikuona una jf. Sasa ngoma ni pale kila mtu anatimka utashangaa vibaka wanakuja kujificha kwako. Acha kabisa, bora ya kunguru muoga!!
Hii stori inaonekana tamu ila akili yangu imeshindwa kung'amua kinachozugumzwa hapa [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Hahaha, kwahiyo ushafika Mbagala tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kichwa chako ndo kizito hivyo itabidi ulipie tu ili nikufundishe peke yako!
Maana kutumia nguvu kubwa bure,wito wangu wa ualimu utapotea [emoji4] [emoji4]
Chochote nitafanya ila yule ndugu yangu inabidi umfukuze ili unifundishe kwa madoido yote nielewe mama. [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Jamaa amekimbia home mapema anaogopa saa saba isifike bado akiwa yuko leaders....wajomba wanaweza kutia timu na mabomu ya machozi...Grace Mugabe alisema fiesta mwisho saa saba.
Oooh! Kumbe,asante kwa kunifumbua macho....
Maana jf ukipotea tu masaa mawili unakutana na msamiati mpya
(Grace Mugabe) Dah! Nyie watu kiboko
 
Aiseee kweli hapo bora ukimbize ubawa wako wasije wakakuvunja halafu kesho ukashindwa kujitafutia mkate wako wa kila siku
Kuvunjwa ni moja, tatizo kubwa ni haka ka android nilikopewa kama zawadi na manzi wangu kabla wajanja hawajanitaifisha. Wakati wazee wa intelijensia watakapoanza kutawanya watu, naogopa vibaka wasije kujificha kwangu, maana waliniona wakati na jf saa sita.
 
Back
Top Bottom