JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asante sana. Wacha kesho nikutafute pengine naweza malizia weekend yangu vizuri[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Haha haina tatizo mkuu... Nitakuwepo pale kwenye nyama choma sijui mbuzi choma sokoni/ getini. Karibu sana mkuu
 
Ndugu tembele mimi nipo zangu mbali na dunia kwenye space orbit
Kama uko huko umebugi. Si hapa ni usiku wa manane na ndo mida yetu huko uliko inaweza hata kuwa saa sita mchana. We siyo wa hapa uende nyuzi zingine.
 
Haha haina tatizo mkuu... Nitakuwepo pale kwenye nyama choma sijui mbuzi choma sokoni/ getini. Karibu sana mkuu
Shukrani sana! Nikute ushachomesha upande mzima tu wa mbuzi,maana mimi silagi sana [emoji39] [emoji39]
 
I wish I could have somebody to spend the night together hapa nilipo lol..... Arusha dakika 40 from where I am right
 
Back
Top Bottom