JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Basi nitakununulia mbuzi mzima ili haja zako zoote ziishe...wasemaje?
Hayo ndo maneno! [emoji39] [emoji39] [emoji39]
usisahau na kreti mbili za balimi mkuu,maana nyama bila kishushio haishuki ati
 
Mbona umepanic au ndio njia yako ya kulala?Ninavyojua chainisi na tembele ni ndugu
Ama kweli huko kuna mambo! Hivi ni anga gani hizo za juu ili na mimi nije nipate hiyo misamiati. Isije ikawa anga za giza. Yaani mi nikitaka kulala napanic! Asalaleh!!!! Mi nilikuita Chinese kwa sababu ya picha ya avator yako na siyo mboga za muhimbili pale bonde la msimbazi.
 
Hayo ndo maneno! [emoji39] [emoji39] [emoji39]
usisahau na kreti mbili za balimi mkuu,maana nyama bila kishushio haishuki ati
Wewe tu hata ukitaka chochote I'll be there to provide for you
 
Why should I lie.? Kuanzia mwanzo wa mada yako mpaka sasa, ila usijari nishakujua
Inabidi nimtafute Neybright anifunze haiba ya kike maana mwishowe nitapishana na bahati hivi hivi..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ama kweli huko kuna mambo! Hivi ni anga gani hizo za juu ili na mimi nije nipate hiyo misamiati. Isije ikawa anga za giza. Yaani mi nikitaka kulala napanic! Asalaleh!!!! Mi nilikuita Chinese kwa sababu ya picha ya avator yako na siyo mboga za muhimbili pale bonde la msimbazi.
Ndo unataka kulia eti?Basi yaishe nikifika on earth ntakutembelea unione mimi ni mwafrika mweusi tiii
 
Ndo unataka kulia eti?Basi yaishe nikifika on earth ntakutembelea unione mimi ni mwafrika mweusi tiii
Mi sitoi machozi hata ya mamba ni rahisi kuyaona, ni bahati mbaya tu we siyo wa pande hizi kwa hiyo huwezi elewa. Siku ukija utagundua kuwa tunapishana siyo masaa pekee yake, lakini hadi siku.
 
Back
Top Bottom