JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndugu tembele mimi nipo zangu mbali na dunia kwenye space orbit
Na huenda huko uliko ni Jumanne next week ya hapa. Na kwa taarifa yako siku hiyo hapa kwetu presidenti ya Kenya (sijui huko kama mna hiyo nchi) anaapishwa na Greda letu litamshuhudia.
 
Ningekuwa mwanaume ningehakikisha nakutia kwenye himaya yangu maana nimependa unavyolaghaika kirahisi ....
You're a woman.?! Never thought of it before. My mind is struggling now..!!
 
Back
Top Bottom