JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mi sitoi machozi hata ya mamba ni rahisi kuyaona, ni bahati mbaya tu we siyo wa pande hizi kwa hiyo huwezi elewa. Siku ukija utagundua kuwa tunapishana siyo masaa pekee yake, lakini hadi siku.
tunapishana mpaka kulia nyie hamlii ki rahisi inaonekana muda mwingi hua mnacheka ila huku kitu kidogo tu wahisi kuchanganyikiwa
 
tunapishana mpaka kulia nyie hamlii ki rahisi inaonekana muda mwingi hua mnacheka ila huku kitu kidogo tu wahisi kuchanganyikiwa
Come on! Sasa naanza kuelewa. Ndo maana wakati huu ambao kwetu ni J4 ya next week wewe ume hack mawasiliano yetu. Ndo maana wakati kwako ni saa sita mchana umeamua kuvuruga usiku wetu wa manane. Nadhani pia Rais wenu atakuwa Robert Gabriel Mugabe na atakuwa a little over 40 years of age!
 
Aiseeeeeeeeee on earth with all of you .Daah raha sana sayari yetu ya earth imetunikiwa kiukweli
 
Back
Top Bottom