JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haina shida Nleterewa Nganengo atakuleta kwangu maana naye ni mwanafunzi wangu japo yeye analipia..
Hivyo usimwambie kama wewe unasoma bure asije akakupoteza bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nilijua nitakuwa pekee yangu kumbe tupo wengi hapo nitashindwa kuelewa maana na bichwa zito(mgumu kuelewa mwepesi kusahau) [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom