spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Wee sikia tu hiyo kitu ya moshi wa machozi ikipigwa na wale wajomba. Afu sasa uwe na android na vibaka wawe walikuona una jf. Sasa ngoma ni pale kila mtu anatimka utashangaa vibaka wanakuja kujificha kwako. Acha kabisa, bora ya kunguru muoga!![emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wewe muoga sana
Hahaha, kwahiyo ushafika Mbagala tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee sikia tu hiyo kitu ya moshi wa machozi ikipigwa na wale wajomba. Afu sasa uwe na android na vibaka wawe walikuona una jf. Sasa ngoma ni pale kila mtu anatimka utashangaa vibaka wanakuja kujificha kwako. Acha kabisa, bora ya kunguru muoga!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kichwa chako ndo kizito hivyo itabidi ulipie tu ili nikufundishe peke yako!Nilijua nitakuwa pekee yangu kumbe tupo wengi hapo nitashindwa kuelewa maana na bichwa zito(mgumu kuelewa mwepesi kusahau) [emoji23] [emoji23]
Hii stori inaonekana tamu ila akili yangu imeshindwa kung'amua kinachozugumzwa hapa [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]Wee sikia tu hiyo kitu ya moshi wa machozi ikipigwa na wale wajomba. Afu sasa uwe na android na vibaka wawe walikuona una jf. Sasa ngoma ni pale kila mtu anatimka utashangaa vibaka wanakuja kujificha kwako. Acha kabisa, bora ya kunguru muoga!!
Hahaha, kwahiyo ushafika Mbagala tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thubutu! Huko si ndo nasikia android huwa zikiwaona zinadondoka zenyewe afu wao wanakusanya. Mi nimekunja mkeka hapa Kariakoo sokoni mkuu!Hahaha, kwahiyo ushafika Mbagala tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa amekimbia home mapema anaogopa saa saba isifike bado akiwa yuko leaders....wajomba wanaweza kutia timu na mabomu ya machozi...Grace Mugabe alisema fiesta mwisho saa saba.Hii stori inaonekana tamu ila akili yangu imeshindwa kung'amua kinachozugumzwa hapa [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
I mic u luv watu wananiogopesha et unanizugaKumekucha na vikucha vyake luv
Chochote nitafanya ila yule ndugu yangu inabidi umfukuze ili unifundishe kwa madoido yote nielewe mama. [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kichwa chako ndo kizito hivyo itabidi ulipie tu ili nikufundishe peke yako!
Maana kutumia nguvu kubwa bure,wito wangu wa ualimu utapotea [emoji4] [emoji4]
We si ulikuwa unapiga soga na Kichwa. Si tumesepa kutoka leaders baada ya kumuona mungu wa jiji akijivinjari na wazee wa intelijensia.Hii stori inaonekana tamu ila akili yangu imeshindwa kung'amua kinachozugumzwa hapa [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thubutu! Huko si ndo nasikia android huwa zikiwaona zinadondoka zenyewe afu wao wanakusanya. Mi nimekunja mkeka hapa Kariakoo sokoni mkuu!
Ondoa hofu kipenz maneno ya watu unajua jinsi nilivyokufa nikaoza nikavurugwa nikatulia na nitatulia kwa penz lako moto moto asali ya moyo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]I mic u luv watu wananiogopesha et unanizuga
Oooh! Kumbe,asante kwa kunifumbua macho....Jamaa amekimbia home mapema anaogopa saa saba isifike bado akiwa yuko leaders....wajomba wanaweza kutia timu na mabomu ya machozi...Grace Mugabe alisema fiesta mwisho saa saba.
Ndo maana nilikuwa nakusubir gunOndoa hofu kipenz maneno ya watu unajua jinsi nilivyokufa nikaoza nikavurugwa nikatulia na nitatulia kwa penz lako moto moto asali ya moyo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui nichocheee.....I mic u luv watu wananiogopesha et unanizuga
Ndiyo huyo mwenyewe first ladyOooh! Kumbe,asante kwa kunifumbua macho....
Maana jf ukipotea tu masaa mawili unakutana na msamiati mpya
(Grace Mugabe) Dah! Nyie watu kiboko
Aiseee kweli hapo bora ukimbize ubawa wako wasije wakakuvunja halafu kesho ukashindwa kujitafutia mkate wako wa kila sikuWe si ulikuwa unapiga soga na Kichwa. Si tumesepa kutoka leaders baada ya kumuona mungu wa jiji akijivinjari na wazee wa intelijensia.
Tena unajua bby mti wenye miba haupigwi mawe.Ndo maana nilikuwa nakusubir gun
Najua ulishasema nisikize ya watu
Sasa mnaanza kuniamshia ka ugonjwa kangu ka wivu....[emoji134] [emoji134]Ondoa hofu kipenz maneno ya watu unajua jinsi nilivyokufa nikaoza nikavurugwa nikatulia na nitatulia kwa penz lako moto moto asali ya moyo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ndiyo huyo mwenyewe first lady
Kuvunjwa ni moja, tatizo kubwa ni haka ka android nilikopewa kama zawadi na manzi wangu kabla wajanja hawajanitaifisha. Wakati wazee wa intelijensia watakapoanza kutawanya watu, naogopa vibaka wasije kujificha kwangu, maana waliniona wakati na jf saa sita.Aiseee kweli hapo bora ukimbize ubawa wako wasije wakakuvunja halafu kesho ukashindwa kujitafutia mkate wako wa kila siku